hahahah tutajuana tukikutana ila siwezi lipia mtu bili ambaye sikupanga na sikua na bajeti hiyo......huyu jamaa kafanya tendo la kishujaa sana...WANGENIKUTA MIMI MBONA WANGEKOMA!!!!Hizi story bhana! Kila mtu eti ana kimbia bili kwa kuaga ana kwenda toilet.
Hata sikumoja mtu hajawai kung'ang'aniwa kulipa bili? Je na huyo msichana kesho yake humuoni tena au hatokuona au hamtokutana?
Hizi story bhana! Kila mtu eti ana kimbia bili kwa kuaga ana kwenda toilet.
Hata sikumoja mtu hajawai kung'ang'aniwa kulipa bili? Je na huyo msichana kesho yake humuoni tena au hatokuona au hamtokutana?
kuna jamaa alishawai kuwakomoa, baada ya muudum kuja alimwambia amsikilize huyo demu wake anataka kinywaj gan. Baada ya hapo akamwambia muudu awa waliobaki waletee soda, wadada walikunywa soda japo kwa shingo upande
mkuu tupe maujuzi ungewakomeshaje?<br />By Ruttashobolwa<br />
Hizi story bhana! Kila mtu eti ana kimbia bili kwa kuaga ana kwenda toilet.<br />
Hata sikumoja mtu hajawai kung'ang'aniwa kulipa bili? J<font color="red">e na huyo msichana kesho yake humuoni tena au hatokuona au hamtokutana?</font>
hahahah tutajuana tukikutana ila siwezi lipia mtu bili ambaye sikupanga na sikua na bajeti hiyo......huyu jamaa kafanya tendo la kishujaa sana...WANGENIKUTA MIMI MBONA WANGEKOMA!!!!
Ndo dawa yao, ukishikwa nawe unashikamana... Mbona wao wakitoa ahadi ya kubanjuana sisi tunakuja bila wengine?wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao
jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!
kwanini uvunje miguu, msubiri mhudumu akija muulize bili yako tu halafu lipa na uwaage kwa amani.
bora walikula kona, maana ungesimamia show, na bado mzigo ungekosaNikweli kabisa hata mimi imewahi kunitokea mkuu. Nilichokifanya nikuleta ukauzu kwa kumuita yule demu niiyemtokea nikamwambia mimi sina mkwanja wa kuhudumia hawa raia ulioambatana nao kama vipi kikao kihairishwe. demu akajibu basi ngoja niwasindikize halafu ntarudi. nilimsubiri mpaka leo.Baadae nikajuta nikasema nibora ningesimamia show. mzigo niliukosa.