kwa wanaume tu, soma hapa

kwa wanaume tu, soma hapa

Naibili

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
1,878
Reaction score
1,060
wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao

jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!
 
wanaumeeeeinasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yaojamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili, kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!
Eeeh, kama wao ni wajanja, basi warudie tena.....
 
unamlipia yule mmoja tu ulimwita wengine watajijua mwenyewe,unamwambia bado mapema hataki achape raba.
 
Navuta picha walivyotoa mimacho wakati wanapiga simu ya jamaa haipatikani.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao

jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!

hahha jamaa kafanya kweli....dawa ni kuwakimbia na kuwaachia bill
 
Hizi story bhana! Kila mtu eti ana kimbia bili kwa kuaga ana kwenda toilet.
Hata sikumoja mtu hajawai kung'ang'aniwa kulipa bili? Je na huyo msichana kesho yake humuoni tena au hatokuona au hamtokutana?

wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao

jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!
 
kuna jamaa alishawai kuwakomoa, baada ya muudum kuja alimwambia amsikilize huyo demu wake anataka kinywaj gan. Baada ya hapo akamwambia muudu awa waliobaki waletee soda, wadada walikunywa soda japo kwa shingo upande
 
kuna binti mmoja wa ustawi nilimualika pale Hongera nikamwamuita muhudumu amsikilize akaagiza Savanna dozen moja. wale sio watu.
 
wanaumeeee
inasemekana kuwa wakina dada wa IFM na ustawi wa jamii ukiwa na promise nao, haji peke yake wanakuja jopo lengo kukukomoa, ndo tabia yao

jamaa yangu mmoja yamemkuta ijumaa ya jana, kamwalika binti, kama kawaida naye kaja na jopo lake, wakaagiza kwa fujo, kinaja kaona maji yamemzidi kwa nini asiwatoroke!
kijana wa watu kainuka kama anaenda msalani, lol hakurudi tena, mabinti wakalazimika kulipa bili,
kinachonishangaza hawa mabinti huwa wanawaza nini?
kama humtaki mtu si umwambie kuliko kumtia hasara zisizo na sababu!

Hii stori naona kama ni wewe ndi imekitokea vile..
 
Co IFM na USTAWI pkee bali hta CBE ndo mchzo wao!ss dawa yao ni kuwatoroka kma mchz alvyowfnya nazan hyo itakuwa fundisho kwao!ladies mbehave bac jman!!!mpka m2 unafka ngaz ya chuo unakuwa ujajua n vp ubehave on ur first date?shame on u ladies wnye tabia kma hyo.
 
Back
Top Bottom