achana nae huyoo mummy maneno ya mkosajii hayoooo!!............Wivu tu huna lolote!
halafu haya mambo ya kuambizana 'No Ladies' ndo kutamanishana makusudi ili tuingie, maana mtoto unapomwambia acha hiyo ndo kwanza umemtuma afanye.
hahahaha mie ngeomba tuzisikie hata online maana tungekuwa tunazisikia za fide na akina kaizer kwa wingi hapa lol,Mummy long time eh mzima lakini?
Yaani huyu Silent whisper hata sijui alikuwa anawaza nini, nimecheka sana ijumaa nikaishia kutamani tu his wish to be granted lol!! Yaani iwe kweli ghafla tu kina kaka, shemeji tunasikia pheww, phweee!! lol sijui kama wangetoka majumbani mwao!
hahahaha mie ngeomba tuzisikie hata online maana tungekuwa tunazisikia za fide na akina kaizer kwa wingi hapa lol,
mie nimeiona leo hii thread nikawachekesha watu lunch time wamecheka mpaka basi , eti wanasema mabosi ndio wangeumbuka wa kwanza na hizi ofisi zilizowekwa partition za viooo tu miluzi ingekuwa inasikika kila wakati.bosi anaingia chini ya uvungu wa meza
Nasikia mapadre mtihani wao wa mwisho huwa wanafungiwa kengele kisha msichana anajipitishapitisha ikilia umefeli upadre!
Ndo manake...kwani ulifikiri ni wewe tuu. Ila wawe hawajawahi kuexpressiwa wala kuexpressiii.Duh nilikuwa sijui kumbe na nyie wanawake ni rijali??
Mtizamo wako huo.Akili isiyotumika inapoteza sharpness..