KWA WANAUME PEKEE

KWA WANAUME PEKEE

BSL

Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
86
Reaction score
98
ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
 
Mimi nitambembeleza mpaka arudi katika himaya yangu nanitampa mapenzi yamotomoto ila bomu ambalo nitakuja kumlipua nalo nadhani ataleta uzi humu kama nimember wahumu
 
ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
Hii si kwa wanaume tu, ni kwa wanaume wapumbavu tu
 
Ndio wanaume muwasaidie wavulana namna ya kujua kuachika wakiachwa.
Ajitahidi kuwa fisi lakini wa silent killer ila mbele ya jamii a-pretend kuwa ni innocent '...Akijifanya kuwa decent kwenye dunia hii atakufa mapema...Mafisi huwa wakiambiwa baby let's breakup --wana jibu --poa ''shortly hivyo yaani
 
Na wewe unaagiza brand new McLaren 570S.Habari zitamfikia tu.
 
mkuu wewe mwanaume utasema uagize gari McLaren 570S ila yeye mwanamke ataagiza ndege kabisa tena Boeing 777-300ER na wewe habari zitakufikia tu
 
ikitokea mwanaume ulikuwa na demu wako unaye mpenda kwa dhati kabisa ghafla tu anakuambia kuwa kuanzia leo mimi na wewe basi kila mtu afanye mambo yake ,hakuna tena cha mahusiano wala mapenzi je nini cha kufanya je ukiwa kama ndiye wewe umeambiwa hivyo utafanya nini hasa cha muhimu
Mapenzi sio vita,

Kubaliana na hali kwanza, Jifunze kuuambia moyo wako neno Ndio, funguka kiakili na hivyo basi umuache aende hata kama inakuuma namna gani.

All the best and the rest.
 
mkuu wewe mwanaume utasema uagize gari McLaren 570S ila yeye mwanamke ataagiza ndege kabisa tena Boeing 777-300ER na wewe habari zitakufikia tu
Yakitokea hayo hiyo vita sio ya mapenzi tena Mkuu.
 
Back
Top Bottom