The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
Nakataa!
Mie nina makalio makubwa sana na mume wangu Shark ni mkali wa game na kushinda bar, lakini mwaka wa 15 huu tuko wote.
Hayo mawazo yako ni matokeo ya machungu ya kutoswa na mwanamke mwenye kalio.
Jipange, Mwanaume pesa, kiuno mpelekee Asha Baraka akuajiri Twanga Pepeta.
Sura mpelekee Shelukindo akufanyie promo Tigo.
Nadhani hujanielewa , unaweza kuwa na makalio makubwa au mzuri sana lakini hivyo vitu kwako unaviona ni vvya kawaida na sio vya kukufanya ujione ni wa pekee hapa duniani.
Duuhh kazi kweli kweli, mimi najua kila mtu kuna jambo au kitu hujivunia nacho, mfano sauti, IQ, mwanya, dipose n.k. Kikubwa labda ujivuni usivuke mipaka.