Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
Wanawake wa kwny mtandao watamu eti
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
Umeonja wangapi
What you dont know cant kill you! Hahaaaa!The devil you know is.....
Online relationships hazina tofauti na hizo relationships mnazoanzisha huko mitaani...
..Naumbuka first time kukutana na mtu online, nilijiambia well, let me see kama naweza kuwa rafiki tu..with time sikuweza kupitisha masaa mawili bila kupata mail/ujumbe wake, i'd feel miserable..lakini ulikuwa urafiki na tulikuwa bado kuonana...
..Baadae akawa sehemu ya maisha yangu na hatukuwa tunaongea mapenzi, it was total/pure friendship. Hata tulivyokutana mara ya kwanza it felt like she was part of me, tuliendeleza urafiki na baadae ndio nikagusia kuwa wapenzi..things worked out very well.
Tatizo kubwa naona watu wanachat leo, leo leo wanapanga kukutana..mwisho wake huwa si mzuri sana..
Nitakuja na link baadae..India moja ya tatu ya ndoa zimeanzia online...UK ni moja ya nne....na nusu ya relationship zinaanzia online
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke
Swali la kitoto hili....online attraction is very unique...ina involve zaidi personality na brain...mtu anakuvutia kwa anayoyaongea akiwa very free since yuko anonymous....hujui huyo mtu ni professa au ni Secretary ..mtaani utam judge mtu na kabila lake au kazi yake..Attraction is not a choice
It's all the same, hata nikibandika tangazo haimaanishi tutaanza kukutana na kudinyana siku hiyo hiyo..Nadhani hata mtoa mada hazungumzii mahusiano yanayoanza hivi....anazungumzia wanaobandika matangazo
Speaking from experience?