Tupe SOURCE Plz
Hebu nifahamishe hizo nyumba zipo wapi? Maana umesema NHC Posta.Je ni Libya Posta au Ubungo? au Upanga? je ni Msasani maana kote huko NHC wanazo nyumba. Au ni Posta Mpya?tufafanulie tafadhali.Ninayo hesabu ya uhakika kwa wanaozihitaji nyumba za NHC - Posta.
Upo hapo wewe m-tz wa kawaida? Sabodo hajakosea.
- Pango kwa mwezi ni Tshs. 350,000.00
- VAT 18% = 63,000.00
- Huduma za maji (yenye chumvi kibao),ulinzi, nk. approx 200,000.00
- maegesho ya kutwa (kwani hazina maegesho kwa wapangaji wa NHC ila kwa wapangaji wa wabia) Tsh. 2,700.00 sawa na Tsh. 64,800.00
Jisogeze.
Bora hiyo kodi imepanda.
Afadhali bei imereflect market place. Shirika lilikuwa linapoteza kiasi kikubwa sana cha mapato.
mimi nahitaji za bei ndogo, nimechoka na foleni ya morogoro road, ukisikia za kilo moja na nusu, please nakuomba niko chini ya miguu yako.
Mimi nimeuliza wadau wanisaidie kupata nyumba nzuri Kibaha town (au hat maeneo yoyote Kibaha), hata Visiga; na ikiwa Visiga itakuwa safi sana. Lkn nashangaa hakuna jubu. Yaani hata mtu kufanya udalali hata mara moja anshindwa? Tafuta nyumba kula pesa yako ya udalali mimi nipate nyumba nilipie mwaka mmoja, unaofuata niingie kwenye nyumba yangu! Nitapanga Hotelini mimi kwa hasira! Ooh!