Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Mimi hawa voda huwa siwatumii kabisa ni mpesa ndo sababu huwa wananipa tuzo point huw najaribu kuzitumia ila tatizo mb hazitumiki hakuna page inayofunguka sasa sijui ni setting au mtandao wenyew
Ina mana kwahiyo menu ndo internet itafunguka sijakupata mana mimi nina mb zakutosha nimepewa na nimejiunga kupitia tuzo pointmkuu jaribu hii *149*03# halaf namba 4
nilikua sijakuelewa ila kiukweli voda wapo juu jarib kuweka apns sawa alaf angalia kama itakataa tenaMimi hawa voda huwa siwatumii kabisa ni mpesa ndo sababu huwa wananipa tuzo point huw najaribu kuzitumia ila tatizo mb hazitumiki hakuna page inayofunguka sasa sijui ni setting au mtandao wenyew
lakin si unaelewa jinsi ya kuweka APNIna mana kwahiyo menu ndo internet itafunguka sijakupata mana mimi nina mb zakutosha nimepewa na nimejiunga kupitia tuzo point
Kuna shida kwako vodacom huwezi fananisha internet na mtandao wowote huku mkoani voda ni rahaaaaa no kukwama.Mimi hawa voda huwa siwatumii kabisa ni mpesa ndo sababu huwa wananipa tuzo point huw najaribu kuzitumia ila tatizo mb hazitumiki hakuna page inayofunguka sasa sijui ni setting au mtandao wenyew
voda haiwezi shindana na halotel kwenye internetKuna shida kwako vodacom huwezi fananisha internet na mtandao wowote huku mkoani voda ni rahaaaaa no kukwama.
SIYO MKOANI TUU ATA APA NILIPO POPOTE PALE WANASHIKA 4g heheheehehKuna shida kwako vodacom huwezi fananisha internet na mtandao wowote huku mkoani voda ni rahaaaaa no kukwama.
Unatumia simu gani?Mimi hawa voda huwa siwatumii kabisa ni mpesa ndo sababu huwa wananipa tuzo point huw najaribu kuzitumia ila tatizo mb hazitumiki hakuna page inayofunguka sasa sijui ni setting au mtandao wenyew
Galaxy j1Unatumia simu gani?
hahahahaaha hiyo ndo inaitwa 4g alaf usilaum bana bro ujue nini fanya kitu ki1 ingia kwenye seting alaf system update kisha weka offNimefanikiwa kuinstall settings lakini ile kazama tu YouTube video moja nilokuwa na mb30 hata video haijaisha naambiwa kifurushi kimeisha
Wapo juu kwa bando zipi?nilikua sijakuelewa ila kiukweli voda wapo juu jarib kuweka apns sawa alaf angalia kama itakataa tena
Sasa unaunga speed ya 4G kwa MB 30.Nimefanikiwa kuinstall settings lakini ile kazama tu YouTube video moja nilokuwa na mb30 hata video haijaisha naambiwa kifurushi kimeisha