maelezo marefu halafu unataka PM sasa si bora ukaweka hapa kwa mara moja kuliko kumwandikia kila mtu separately hayo maelezo marefu! usilazimishe watu wakutukane mkuu!
Sikukatishi tamaa kama kweli una wazo zuri weka hadharani,hivi kuna maelezo marefu kama yale ya Ripoti ya siri ya zitto? Mbona iliwekwa na ikatosha? Kuna Dr Flan hiv ana CV ina page 32 lakini iliwekwa humu na ikatosha sasa hayo mamelezo marefu yako yasiyotosha ni yapi? Biblia yenyewe ile zipo softcopy zake kwenye pdf na zimewekwa online tena zina 6MB sasa hayo maelezo yako ukiyaweka kwenye softcopy yatazidi 50MB?(Limit ya JF) kama una nia ya kweli mwaga hadharani kama hauweki hapa basi kuna kila dalili ya wizi na utapeli huko PM.
uuuuuuups what kind of human being u ar????PM????FOR BUSNESS OR???be seriuos bhana nimeacha kukata nyanya na vitunguu jikon nikafungua fasta nikijua napata maujuzi nivunje kibubu changu kumbe mtoto wa kike nakutanana mambo ya PM.......weka wazi hapa jamvin tusom na tukiona kuna point utatafutwa