Kwa wanaojua process za kuhama chuo

Rosati

Senior Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
104
Reaction score
69
Jambo pipo, nimepata selection ya chuo kimoja kibovu kweli na nimepangiwa faculty ambayo siipendi, nasikia huwa mtu unaweza ukahama chuo, hivi kuna madhara yoyote ukihamishwa chuo na je inahitaji process zipi? Kindly advice kwa wazoefu...
 
Jambo pipo...nimepata selection ya chuo kimoja kibov kweli na nimepangiwa facalty ambayo siipend,naskia hua mtu unaweza ukahama chuo,hivi kuna madhara yyte ukihams chuo na je inahitaji process zipi?kindly advice kwa wazoefu...

Unapangiwa kutokana na machaguo yako 5
 
Reactions: V2d
du..kuna nyuzi nyingi humu zinaelezea process za kuhama chuo.zitafute
 
duh unachagua kitu ambacho ukipendi!!!! hii kwli ni sheeda
 
 
 
Binti sijakupenda...unaonekana una nyodo sana wewe...si heshima kitaaluma kuandika post kama hii...labda ni kwa kuwa wewe ni kindaki ndaki wa taaluma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…