haule.scola
Senior Member
- Jul 23, 2012
- 148
- 28
habari ya jumapili, samahani ninatafuta chuo cha ualimu kwa ngazi ya cheti pia nauliza kwa wanaoelewa naomba kujua kama kwa matokeo haya naweza kupata hiyo nafasi, C moja, D Tatu, na E tatu
nacho fahamu siku hizi hakuna mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti,nikuanzia diploma tu na sifa ni credit au division three ya dhamani..