Wafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.Habari ya asubuhi wapendwa,
Jana usiku babu wa Kasie amenibembeleza kiaina yake, nilikuwa kila nikijigeuza usingizi hauji, kila nikigeuka huku usingizi unagoma nikamwambia babu mie sipati usingizi na muda unaenda asubuhi ntachelewa kuamka, basi babu akaamka na kuanza kunibembeleza kama mama anavombembeleza mwanaye aliyestuka usiku kwa kuota ndoto mbaya.
Basi babu akaanza kuniimbia nyimbo za kinyamwezi hahahahaa nikaanza kutabasamu huku anani petipeti mgongoni hadi nikapitiwa na usingizi.
Wimbo alioniimbia ninaoukumbuka ni huu....
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu wangaluka mwana wa Ntemi,
Walolo mayo watolwa mwana wa Ntemi
Wamfuma mwikuluu, wamfuma mwikuluu.. (sijui nimepatia matamshi unavoimbwa)
Maana yake hata sijui ni nini mie nilisikia raha tuu kubembelezwa na nyingine lizoniimbia sizikumbuki maana nilipotelea usingizini.
Babe ake Kasie is so lovey..... muah!! to him.
Kama unafuraha na tabasamu siku ya leo unga hapa kuimba kinyamwezi.
Dah ww ndio hujui kabisa wafuma mwikulu =mana yake ametoka ikulu mtoto wa mfalme=wangaloka mwana wa ntemii = wangaloka mana yake asubuhi aloyo wawa wa tolaaa mwana wa ntemiii= mana yake huyu baba kaoa mtoto wa mfalmeeeWamfuma mwikulu =nisamehe mjukuu
Mwikulu wangaluka mwana wa Ntemi=Nenda kwa mjukuu wangu Yamakagashi
Walolo mayo watolwa mwana wa ntemi = Ndio mikono salama ninayokuacha kabla sijafa
Sasa ushauri usipo ufanyia kazi shauri yako
Dah watu wengine bana mimi nimetega ulimbo wanguDah ww ndio hujui kabisa wafuma mwikulu =mana yake ametoka ikulu mtoto wa mfalme=wangaloka mwana wa ntemii = wangaloka mana yake asubuhi aloyo wawa wa tolaaa mwana wa ntemiii= mana yake huyu baba kaoa mtoto wa mfalmeee
Wawezya sana. Wi mpanga?Wafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.
Wangaluka mwana wa Ntemi - Umeamkaje mtoto wa Mtawala.
Siyo Walolo mayo ni Aluyu mayo inamaanisha huyu hapa mama(mwanamke),
Watolwa mwana wa Ntemi - Ameolewa mtoto wa Mtawala.
Nimpanga du mgosya, nanho ulewaywa?Wawezya sana. Wi mpanga?
duuuuuuhWafuma mwikulu - Umetoka Ikulu.
Wangaluka mwana wa Ntemi - Umeamkaje mtoto wa Mtawala.
Siyo Walolo mayo ni Aluyu mayo inamaanisha huyu hapa mama(mwanamke),
Watolwa mwana wa Ntemi - Ameolewa mtoto wa Mtawala.
Ene nde waywa, pozyaNimpanga du mgosya, nanho ulewaywa?
Ene nde waywa, pozyaNimpanga du mgosya, nanho ulewaywa?
Dah umenikumbusha miaka mingi sana iliyopita sasa hivi kuongea cha kuunga unga tuEne nde waywa, pozya
Ucjal, tupo pa1Dah umenikumbusha miaka mingi sana iliyopita sasa hivi kuongea cha kuunga unga tu