G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,966
Wakati niko mdogo niliwai kusikia watu/mtu akipata rupia anakuwa tajiri sana, sasa mwezi uliopita nilikuwa nasimamia mgodi wa moonston Songambele ya matui.
Wakaja watu 2 kijijini wantafuta rupia, nikashangaa xana! kila nilivojaribu kuwauliza husu hizo rupia hawajawai kuziona! lakini wanasema huwa zinakuwa kwenye masanduku walioacha wajerumani na kwa hali ya kawaida huwezi kuyaona mpaka upitie kwa wazee wa matmbiko au waganga wa jadi! Sasa jamani hii kitu rupia ni kweli ipo? Ni nani anaekuwa ananunua? halafu inathamani gani?
Kwa yeyote anaejua zaidi niasaidie kujua hii kitu"