Kwa wanaojua gari ndogo

Kwa wanaojua gari ndogo

Mukose

Member
Joined
May 19, 2012
Posts
95
Reaction score
29
Naomba kujuzwa juu ya gari gani ndogo ambayo ni nzuri hasa kwa safari za masafa kama mikoani bila tatizo na inatumia vizuri mafuta?
 
Premio, carina, probox, wish, isis etc

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujuzwa juu ya gari gani ndogo ambayo ni nzuri hasa kwa safari za masafa kama mikoani bila tatizo na inatumia vizuri mafuta?
vip mbona bei hujagusia na je unataka imported au yaliyoendeshwa tayr na wabongo. opt for premio new model, nice car.

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kujuzwa juu ya gari gani ndogo ambayo ni nzuri hasa kwa safari za masafa kama mikoani bila tatizo na inatumia vizuri mafuta?
Mkuu.... GX100 MARK II

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Carina T.I/S.I, Corolla 110, Vitz RS, Spacio new model (hata old sio mbaya sana).
Hapo nimegusia magari ya chini ya CC 2000 ambayo ni mazuri upande wa fuel consuption, imara katika kila hali na spare parts zake utazikuta kila kona ya nchi
 
Tupeni bhas na Uzoefu... Sio kutaja tu wakuu..
Mfano. Gari X kutoka dar mwanza nlitumia Lita kadhaa za mafuta and other experiences

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Carina T.I/S.I, Corolla 110, Vitz RS, Spacio new model (hata old sio mbaya sana).
Hapo nimegusia magari ya chini ya CC 2000 ambayo ni mazuri upande wa fuel consuption, imara katika kila hali na spare parts zake utazikuta kila kona ya nchAhsante sn nashukuru kwa hilo
 
vip mbona bei hujagusia na je unataka imported au yaliyoendeshwa tayr na wabongo. opt for premio new model, nice car.

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Isiyozidi 6M
 
1.Marcopolo
2.Yutong
3.scania

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom