kuflash simu sio kosa na mamlaka ya mawasiliano imethibitisha hilo siku ambayo inafunga simu zote ambazo hazitambuliki ila kufungua zilizofungwa na kubadili imei hilo ndio kosa la jinai na adhabu zake ni fain ya 30ml. au miaka 10 jela au vote kwa pamoja