Kwa wanaoijua k7 msaada huku

Jaribu kuwa una boost mara kwa mara, kuna sehemu inaitwa phonemaster ingilia hapo..

Patriotist..
 
Ukitaka kujua tecno zina matatizo kibao amia brand nyingine kama Samsung, I phone, oppo, xiaomi, HTC, Huawei, LG, Nokia etc

Amini nakwambia hutotoa pesa yako tena kwa hizo simu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ilishafanyiwa updating sasa sijui tatizo ni nini.
 
Hapo system ya sim imeanza kuisha....hvyo jitahid kuipa free space ya kutosha kweny disk zake na jitahid kuiboost na kufuta caches....ttzo likizid utabadilisha firmware!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…