Hatuhitaji pesa ya mtu yeyote kwa vyovyote vile hatuhusiki na hatuhitaji kupokea pesa au vocha yoyote ile hii ni huduma na tunataka tuone na tufurahi kusikia dada zetu wanapata waume, wanaolewa na Mungu anastawisha familia yaoKabla ya maombezi kuna hela ya vocha au gharama zozote zile mkuu? Keneth12
Wewe utakua umeniona mimi tu, kweli ashkuriwe Mungu kwa kuumba. Ahsanteni kwa kuniunganisha na Mkenimeipenda huduma yenu, namuona mume huyoooo. ashukuriwe mungu kwa kukuumba.
Anhaa,Hatujapata maelekezo kuwaombea wanaume, ila tumeshaanza kwa wasichana ambao wana watoto ila hawajaolewa. kwa sasa tunapokea mesage nyingi kila siku na tunawaombea kama 16-20 kila siku.
Hahahahahahh!Wewe utakua umeniona mimi tu, kweli ashkuriwe Mungu kwa kuumba. Ahsanteni kwa kuniunganisha na Mke
Lazima tuombe tumsikilize Mungu anataka tufanye nn na kwa wakati ganiAnhaa,
Kumbe mnapokea maelekezo? Kutoka wapi tena hayo maelekezo??
Mkuu samahani,Lazima tuombe tumsikilize mungu anataka tufanye nn na kwa wakati gani
Hatuna Mungu mwingine hapa duniani Mungu ni mmoja tu tunaye muamini.Mkuu samahani,
Naomba hili neno Mungu hii herufi "M" ianze kwa herufi kubwa ili tuwe tunamaanisha sawa, otherwise naona kama itakua unaemzungumzia wewe sie ninaemzungumzia mimi.
Mungu yuko mmoja tu,Hatuna Mungu mwingine hapa duniani Mungu ni mmoja tu tunaye muamini.
Nipe namba zako nikutafuteAnayehitaji mke mie nipo hapa
Wewe utakua umeniona mimi tu, kweli ashkuriwe Mungu kwa kuumba. Ahsanteni kwa kuniunganisha na Mke
Tatizo Dangote ameshaoa....Mimi nataka mniombee nipate Mume Bilionea.
Tatizo Dangote ameshaoa....
mkuu wanaombewa wanaotaka KUOLEWA sio KUOA. hata mimi nimekaa kimya maana mtoa mada kaweka sharti kama huhusiki usi-comment. mimi nimevunja sharti ili tufarijiane tu ndugu. ninachojua mimi HUWEZI KUANDAA MBEGU KABLA HUJAANDAA SHAMBA. MUOLEWA ATAOLEWA NA NANI. NASHAURI WOTE WAOMBEWE ILI UTUKUFU WA MUNGU UTAMALAKI MILELE. JIBU AMINA!!Amen man of God, Mm naomba uniombee nipate mke mwema, mwanamke ambae ameubwa kwa ubavu wangu
Hahahahahaaaaaa.... Nimekuelewa Mkuumkuu wanaombewa wanaotaka KUOLEWA sio KUOA. hata mimi nimekaa kimya maana mtoa mada kaweka sharti kama huhusiki usi-comment. mimi nimevunja sharti ili tufarijiane tu ndugu. ninachojua mimi HUWEZI KUANDAA MBEGU KABLA HUJAANDAA SHAMBA. MUOLEWA ATAOLEWA NA NANI. NASHAURI WOTE WAOMBEWE ILI UTUKUFU WA MUNGU UTAMALAKI MILELE. JIBU AMINA!!
sitaki kubeza wenye kueneza upendo na kuwalisha kondoo neno la Mungu. tatizo langu katika huu uzi ni mtindo wa LADIES FIRST, NAMBA YA SIMU na kauli fulani ya ubabe kama huhusiki USIKOMENTI. tumeshuhudia katika madhabahu, mikutano ya maombezi watumishi/waombezi wakitoa wito kwa WENYE ndugu, jamaa, marafiki ambao hawakufanikiwa kufika hapo wajitokeze mbele au washike viungo vyenye maradhi kwa niaba ya muombewa. najiuliza huyu anayesisitiza utume namba ya simu, jina na kuchagua muda kama hatakuwa na simu ndio kusema fursa imempita. nawaza kama robert na hayo ndiyo mashaka yangu. mwingine yeyote aweza kutofautiana nami. pia WAOAJI ni sisi, tunaomba mleta uzi aongeze maelezo na SISI waoaji tuombewe labda tu kama JINSIA HAIZINGATIWI katika ndoa ZILIZOLENGWAHahahahahaaaaaa.... Nimekuelewa Mkuu
yaani umeongea point mm nimeshangaa mchungaji katika para ya mwisho ameweka sharti gumu sijamuelewa mutumishi halafu ni vyema angesema aanawaombea wote yaani jinsia zote kwani nazo zinahitaji maombi,sitaki kubeza wenye kueneza upendo na kuwalisha kondoo neno la Mungu. tatizo langu katika huu uzi ni mtindo wa LADIES FIRST, NAMBA YA SIMU na kauli fulani ya ubabe kama huhusiki USIKOMENTI. tumeshuhudia katika madhabahu, mikutano ya maombezi watumishi/waombezi wakitoa wito kwa WENYE ndugu, jamaa, marafiki ambao hawakufanikiwa kufika hapo wajitokeze mbele au washike viungo vyenye maradhi kwa niaba ya muombewa. najiuliza huyu anayesisitiza utume namba ya simu, jina na kuchagua muda kama hatakuwa na simu ndio kusema fursa imempita. nawaza kama robert na hayo ndiyo mashaka yangu. mwingine yeyote aweza kutofautiana nami. pia WAOAJI ni sisi, tunaomba mleta uzi aongeze maelezo na SISI waoaji tuombewe labda tu kama JINSIA HAIZINGATIWI katika ndoa ZILIZOLENGWA
Mungu atusaidie kwa kweliyaani umeongea point mm nimeshangaa mchungaji katika para ya mwisho ameweka sharti gumu sijamuelewa mutumishi halafu ni vyema angesema aanawaombea wote yaani jinsia zote kwani nazo zinahitaji maombi,
Jichunguze pengine tabia na matendo yako yanakufanya uvutie zaidi waume za watu. Au hunapendi kujichanganya na masingles.Aisee hata Mi nahitaji mume maana kwa akili zangu nimeshindwa, wameume za watu wamenisonga tuu, huwa najiuliza hakuna hata aliyesingle?