Kwa wanaohitaji kuolewa

Aisee hata Mi nahitaji mume maana kwa akili zangu nimeshindwa, wameume za watu wamenisonga tuu, huwa najiuliza hakuna hata aliyesingle?
Dah hakika umekuja wakati muafaka. Hii inaitwa double coincidence of wants....vp naruhusiwa kutangaza nia.
 
Ole wake mtu yule awapotoshaye hawa, itakuwa heri kufungiwa jiwe la kusaga shingoni mwake na kutoswa kilindini mwa bahari ya shamu!
 
Je kwa sie tunaohitaji kuoa mnatufikiria vipi??
 
Mimi nataka mniombee nipate Mume Bilionea.
usingoje kuombewa dada good things attracts good things. kuwa millionea alafu utapata bwana billionea niamini mimi.
ila ukiwa jerolionea (500) basi utapata bukulionea (1000)
 
usingoje kuombewa dada good things attracts good things. kuwa millionea alafu utapata bwana billionea niamini mimi.
ila ukiwa jerolionea (500) basi utapata bukulionea (1000)
Mwenyewe najiombea pia hata Mungu anakwambia jisaidie na Mimi ntakusaidi.

Unaweza kuwa hata wa 100 na ukapata bilionea ama milionea, kila kitu ni malengo na target sasa wewe jiwekee wa buku kwasababu ni wa jero, focus mbele zaidi uone Kama kile ukinenacho na kukiwekea bidii hakitimii.
 
Dada angu, maisha hayako ivo.
"you can limit your disappointment by limiting your expectations"

Alafu ushauri tuu na kuwaz kidogo
:kwanini usiombe wewe uwe bilionea, unataka mume bilionea?
 
Dada angu, maisha hayako ivo.
"you can limit your disappointment by limiting your expectations"

Alafu ushauri tuu na kuwaz kidogo
:kwanini usiombe wewe uwe bilionea, unataka mume bilionea?
Naomba nikuulize kitu mana unanichosha, kwani Mimi kutaka mume milionea ama bilionea inakuwasha nini???? Hayo ni maamuzi yangu Mimi binafsi na maisha yangu inakuathiri nini????

Kila mtu ana malengo na mipango yake kwenye maisha yake.
 
sijaumwa wala kuguswa wala kufeel mimi nimefanya kuuliza kama imekukera pole
 
sijaumwa wala kuguswa wala kufeel mimi nimefanya kuuliza kama imekukera pole

Sijakereka nimeshangazwa na kukomaa kwako kwa kile nilichokiandika.

Hapa nisehemu ya kujifurahisha usichukulie serious Sana kila kiandikwacho utapotea.
 
niombee na mimi plzzzzzzzzzzzzzzzz kwa pm maana sina simu.
 
Je kwa sie tunaohitaji kuoa mnatufikiria vipi??
Hatujapata maelekezo kuwaombea wanaume, ila tumeshaanza kwa wasichana ambao wana watoto ila hawajaolewa. kwa sasa tunapokea mesage nyingi kila siku na tunawaombea kama 16-20 kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…