Kwa wanaohitaji kuolewa

kama wapo kweli na wanahitaji..mimi ni kijana single tafadhari mmoja ani P.M.. niko tayari kutoa mahari na kuendelea... narudia ni P.M.
 
KUMBUKA SIOO WOTE WENYE EMAIL WANA SHIDA ZA NDOA NA WATOTO KAMA LENGO ZURI KUOMBA KWANINI USIWEKE NAMBA HAPA AMA.UWAPIGIE AMA.WAKUTAFUTE

EMAIL ZIMEKOSESHA HATA AJIRA ZA WATU BORA WEKA NO MWENYE IWEZO WAEMAIL.AFANYEHIVYO
SMS 0658 41 74 86 andika jina, muda wa maombi kama tulivyo ainisha
 
ombeeni familia zenu kwanza,halafu huyo mnaemuomba ana simu na yeye?
 
usimpangie Mungu tafadhali. Mungu huamua kumpa mtu yule ambaye anaona anamfaa uwezo, tabia...
Sijampangia hilo ni hitaji la moyo wangu, yeye ndo ataamua kunipa ama kutonipa.
 

Matangazo ya biashara haya muwe mnalipia...
Eti ndio maagizo ya mungu,kaongea na wewe lini?
Mamlaka ya kuandika kwa jeuri hivi umeeyapata wapi wewe mfanyabiashara?
Fanya biashara halali,uza bidhaa ujenge uchumi wa nchi na kodi ulipe sio mnatuletea utapeli hapa,
 
Mungu ni bwana wa wasiokuwa na bwana.

Mwache mungu awaoe tafadhali!
 
MUNGU AKUSAMEHE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…