aisee mi huwa namwita sweetie na yeye ananiita hivyo hivyo ila sasa sio mbele ya baba mkwe na mama mkwe ila mbele ya wazazi wangu huwa namwita sweetie kama kawaida.....coz baba mkwe asijekuona mwanawe anasifiwa kwa utamu
why all these double standard?
ina maana we hujui hadhi ya wakwe?
hawana hadhi zaidi ya wazazi wangu
umeoa lakini au kelele tu?
haijalishi, unaheshimu wakwe kuliko wazazi wako? haikai akilini mwangu, wanastahiki heshima sawa
tukutane ukishaoa
usijali, ushajenga kwa wakweo?
sawa bosi, ila hatufikiani kwa kuvaa madozen ya chupi, fikra na uelewa wa mambo, by the way mimi sio dogo...siku njemasikiliza dogo,kwa jinsi navyokuona tangu umejitambua na kuanza kuvaa ngua hata dozen ya ch*pi hujafikisha bado.nikikujibu nitakuwa nakuonea.mi mpakaa sasa nina dozen tatu na nusu.tutaongea ukinifikia
Inategemea uko maeneo gani au uko mbele ya watu gani! huwezi ukawa manzese pale upande mitumbani halafu unaanza kuita tu "mme wangu/mke wangu" mtaonekana limbukeni na mnaweza mkaibiwa hata hela zenu na mizigo mengine!! wako wamechaka maisha nyie mnaleta mashamsham....
aisee mi huwa namwita sweetie na yeye ananiita hivyo hivyo ila sasa sio mbele ya baba mkwe na mama mkwe ila mbele ya wazazi wangu huwa namwita sweetie kama kawaida.....coz baba mkwe asijekuona mwanawe anasifiwa kwa utamu
why all these double standard?
ina maana we hujui hadhi ya wakwe?
hawana hadhi zaidi ya wazazi wangu
umeoa lakini au kelele tu?
haijalishi, unaheshimu wakwe kuliko wazazi wako? haikai akilini mwangu, wanastahiki heshima sawa
tukutane ukishaoa
usijali, ushajenga kwa wakweo?
sikiliza dogo,kwa jinsi navyokuona tangu umejitambua na kuanza kuvaa ngua hata dozen ya ch*pi hujafikisha bado.nikikujibu nitakuwa nakuonea.mi mpakaa sasa nina dozen tatu na nusu.tutaongea ukinifikia
sawa bosi, ila hatufikiani kwa kuvaa madozen ya chupi, fikra na uelewa wa mambo, by the way mimi sio dogo...siku njema
aisee mi huwa namwita sweetie na yeye ananiita hivyo hivyo ila sasa sio mbele ya baba mkwe na mama mkwe ila mbele ya wazazi wangu huwa namwita sweetie kama kawaida.....coz baba mkwe asijekuona mwanawe anasifiwa kwa utamu
Hahahahaha eti Manzese hahahahaInategemea uko maeneo gani au uko mbele ya watu gani! huwezi ukawa manzese pale upande mitumbani halafu unaanza kuita tu "mme wangu/mke wangu" mtaonekana limbukeni na mnaweza mkaibiwa hata hela zenu na mizigo mengine!! wako wamechaka maisha nyie mnaleta mashamsham....
Jibu swali umeoa au bado? usikwepehaijalishi, unaheshimu wakwe kuliko wazazi wako? haikai akilini mwangu, wanastahiki heshima sawa
hahahaha hii kweli kiboko.........JF ni nomaaaaa