Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,489
- 6,883
Una bei gani??Msaada wa kujua kwa vipimo hivi hili eneo ni ekari ngapi?
Una bei gani??
Mkuu hali yenyewe ya maisha ngumu tayari, then nawe waongeza ugumu kwa kuleta maswali yako
Mkuu hali yenyewe ya maisha ngumu tayari, then nawe waongeza ugumu kwa kuleta maswali yako
Hesabu Ali score ngapi vileeeNgoja aje RC wa Dar ni mtaalamu wa hesabu na ni member wa JF.
0 negativeHesabu Ali score ngapi vileee
Ova
mbona hiyo ni hesabu ya darasa la tatu mkuu?