Kwa wanachuo inavyokuwa

Kuna wanachuo huku kutoka kigoma wamekuja mwaka wa kwanza naona mabadiliko siku baada ya siku nasubiri Hadi mwisho nione
 
Kwa madaktari na wanasheria wanaosoma miaka minne ndio kusema hadi wanamaliza wanakua washavua zote?
 
Mie naweza kuwa mtazamaji lakini huyo aliyevaa kivazi cha mwaka wa tatu naweza kutoafikiana naye, lakini mimi kutoafikiana naye haimzuii kuvaa kivazi cha kuonyesha hadi picchu au papuchi.

Nawe si mtazamaji maoni yako vepee
 
Mie naweza kuwa mtazamaji lakini huyo aliyevaa kivazi cha mwaka wa tatu naweza kutoafikiana naye, lakini mimi kutoafikiana naye haimzuii kuvaa kivazi cha kuonyesha hadi picchu au papuchi.
Haya mkuu ni nimekupata [emoji7]
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…