Kwa wanachadema

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,124
Reaction score
895
Nimekua mshabiki wa chadema kwa muda mrefu sasa nimehamasika vya kutosha!!
Kwa moyo wangu na akili zangu timamu nimeamua kua mwanachama halisi!! nitakua Tanzania ( Dares salaam)
Wiki ya mwisho ya mwezi may Wanachadema wa CHADEMA naomba mnielekeze wapi nitapata vitu hivi
KADI YA CHAMA, TSHIRT YA M4C, NA BENDERA... nawasilisha...
 
kuna ubaya gani ukamwelekeza, sioni haja ya kumkatisha tamaa. utapata wanaojua utapopata .
kila la heri
 
Ina maana hata hapo ulipo mtaani au Kata yako hamna TAWI lolote?

Mleta mada kaongea kitu cha msingi sana, kwani suala hilo linatugusa wengu kwa hiyo kama huna jibu la maana sio lazima kuchangia.

Wadau mimi niko Switzerland, na nimeamua kujiunga na CHADEMA na kuunga mkono mabadiliko (M4C) bila kushurutishwa na nikiwa na akili timamu. Nitakua nyumbani Tanzania miezi michache ijayo ila ninapenda kutambulika rasmi kama mwanachama na kutoa michango yangu ya hali na mali kuendeleza mapambano; Naomba kujua kama naweza pata kadi ya chama changu cha CHADEMA nikiwa huku.
Tumekua na mijadala mingi hapa na Watanzania wenzangu kadhaa kuhusu yanayoendela nyumbani, na kwa pamoja tumeamua kuanza kuhamasishana na kuona jinsi ya kusaidia vuguvugu hili la mabadiliko linaloongozwa na CHADEMA.

Peopleeeeeeeeees' power!!!!!!
 
pipooooozzzzzzzzzzzzz pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:msela:😛eace::cheer2::cheer2::target::majani7::clap2::drum:😛eace:
 
nimekua nje kwa kipindi kirefu ninakuja home Tanzania likizo tu hivo nikaona nitumie muda huo kuwa mwanachama hai
 
Ongea pia na Chris Lukosi kwanza. Alikuja na mbwembwe hapa hawakumshobokea na vyeo akatoka baruti. Karobu tujenge nchi ila ujue grisi tunatumia ya kichina. Jurudumu halisogei tunasukuma kama wehu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unatoka kijijini kwenu kwenda mjini Dar kufuata kadi ya chadema?
Kweli mchezo wa karata tatu umenoga kijana kauza shamba aje kupata maisha.
Anyway leo nimezichoma moto kadi kama alfu moja za chadema lakini sikukaa kwenye moto kuhakikisha zinatekea zote hivyo nenda pale karibu na nilipochoma unaweza pata masalia
 
Ongea pia na Chris Lukosi kwanza. Alikuja na mbwembwe hapa hawakumshobokea na vyeo akatoka baruti. Karobu tujenge nchi ila ujue grisi tunatumia ya kichina. Jurudumu halisogei tunasukuma kama wehu.
Mbona cheo tayari nilikuwa nacho?
Mimi ndio Nyerere wa chadema UK au hujui hilo? na kama ndoto mnazoota chadema zingekuwa kweli basi 2015 wengi tungekuwa wakubwa lakini nilikataa kucheza karata tatu
UKITAKA KUJUA NJIA YA SHORT CUT KULA NAULI...!
 
Hahahaha.
Sasa umekula nauli i hope you have a nice pair of them leather boots. Saga soli nyerere whatever. Muelekeze na huyu short cut. Wengine we will walk this mile to the end.
Mbona cheo tayari nilikuwa nacho?
Mimi ndio Nyerere wa chadema UK au hujui hilo? na kama ndoto mnazoota chadema zingekuwa kweli basi 2015 wengi tungekuwa wakubwa lakini nilikataa kucheza karata tatu
UKITAKA KUJUA NJIA YA SHORT CUT KULA NAULI...!
 
Onana na Molemo, au Matola, kwa kadi. Ukitaka magwanda onana na Mwali,

Mwali??? Huu utani mbaya, i will report you! Ha ha hs
Kama anatafuta uniform ya jeshi alitumikie taifs aje nimwuelekeze. Ila kama hayo magwanda ajaribu umoja wa boyscouts mtaani kwao.
 
Last edited by a moderator:
nimekua nje kwa kipindi kirefu ninakuja home Tanzania likizo tu hivo nikaona nitumie muda huo kuwa mwanachama hai

Kaka, hii pekee ingekuonesha kiwango cha organisation ya chama ( or lack thereof). Anyway, it is your choice. Nenda makao makuu watakuelekeza. Kumbuka kupeleka kadi yako ya zamani waichome moto, unless you want to apply kubaki nayo, uitunze kama kumbu kumbu 😉
 
Afu yunifomu yangu ya jeshi imeniruka manake nimekuwa mkubwa. Fanya utaratibu afande.
Mwali??? Huu utani mbaya, i will report you! Ha ha hs
Kama anatafuta uniform ya jeshi alitumikie taifs aje nimwuelekeze. Ila kama hayo magwanda ajaribu umoja wa boyscouts mtaani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…