Constructive criticisms (kusahihisha/kurekebisha na kutoa ushauri stahiki) hazikataliwi, ila kinachohofiwa ni mtu kutoka kwakwe ameshiba na kuja kuanza kutoa Destructive criticisms (kuponda mawazo finyu na kutokutoa suggestions). Kama kusinge kuwa na watu wa hivyo nadhan mtoa mana asingeweka hilo angalizo.Maadamu umeliweka JF basi kila mwanajamvi anahaki ya kuchangia. Vinginevyo ungeweka kule kwenye website ya CHADEMA ama blogspot yoyote ya mwana CHADEMA. Waache waje kuponda mawazo finyu ndipo utakapoimarika.
Umenena vyema Sis angu,kuna siku nlishauri, vijana tujenge mazoea ya kurudi/kutembelea vijijini na kukaa karibu na vijana wenzetu wa vijijini kwa kuwezesha Mashindano ya michezo, kuwapa elimu ya ujasiliamali kwa kutumia mazingira waliyopo km ufugaji wa nyuki, ufugaji wa kuku, mbuzi etc ili wajiongezee kipato, kufanya tafiti mbalimbali za mambo mbalimbali yanayowahusu, Kuwapa ushauri wa kitaalam ktk shughuli zao (e.g kilimo, ujenzi wa nyumba bora, elimu, ufugaji etc) za kila siku na kuchangia elimu huko vijijini sio tu kwa kuwapa fedha bali hata kujitolea muda wako na kufundisha masomo mbali mbali huko kwenye shule za kata unapokuwa likizo, kwa kufanya hivyo utajenga ukaribu na wananchi wa vijijini na utaweza kuwapa na elimu ya uraia. Jitihada hizi zikifanyika nyuma ya mgongo wa chama CDM nina imani 2015 hata magamba wakileta magumashi hawataambulia kitu. Hakika inatupasa kuwa wajanja ili kuwafikia wananchi wa kijijin ambao ndio mtaji mkubwa wa wenzetu.Wana CHADEMA ambao hutumia muda mwingi ku - comment humu JF tubadilike na kusaidia kukuza chama na kueneza elimu ya uraia huko mitaani kwa kuanzia na familia zetu wenyewe. Wapo wanaotoa michango mizuri kuelimisha watanzania lakini ni watanzania wachache tu wenywe kupata taarifa kwa njia ya mtandao. Na tutoke sasa nje ya JF tusaidie kuleta mabadiliko kwa upana zaidi.
Maamuzi makubwa ya kichama yasifanywe na watu wa kutoka eneo moja la nchi
Heri ya mwk mpya wanajf na wana chdm wnzng!ni matumumain yng kw mmsheherekea vym!
Najua kuna mambo mengi ambay bado chama chetu kinahtj kufanya ili kujiimarisha zaidi kuelekea chaguzi zijazo!najua kuna michango iki/uki wemo yako/wako amba(yo/o) unahtjka sn!viongozi na watu wengine wenye influence kubwa kwa chama wanatakiwa kutumia shauri na jumbe zako zitakaztolewa hapa kukiendeleza na kukijenga chama hiki cha ukombozi!we real appreciate and admire the work whch is being done by Chdm!yangu machache ni;
1.wazidi kukumbushia uovu uliofanya na wakoloni CCM na kupigania urejeshwaji wa rasilimali zilizohujumiwa
2.wazidi kueneza elimu ya uraia kw watz wote(hasa vijijn)
3.kamati kuu izidi kudumisha malezi na nidham hasa kwa wale wanaokichafua chama(SHIBUDA et al)na ikiwzkana kuwaondoa kabisa
KAMA WEWE C MWANACHADEMA USICHANGIE MADA HII!MATUSI NA KEJELI HATUZITAKI HAPA P/SE.TUNAHITAJI KUKIIMARISHA CHAMA ZAIDI!
Peoples pooweeeer!
CDM = Christian Democratic Movement! Pia mi nakubali Jesus is 'god', Tatizo God sio Jesus!

Ahsante Jembe langu, kweli nchi hii haiwezi kukombolewa bila kuwa na njia mbadala, mana mbinu nyingi zimeshatumiwa ila naona hatutoki, nadhan suluhisho ni kubadili utaratibu na Mikakati mingi niliyoshauri hapo haihitaji fedha nyingi au haiitaji fedha kabisa, hakika ni nauli yako tu ya kukufikisha kijijini na balance kidogo tu, otherwise ni kutumia mawazo uliyonayo tu kuwafikia wanakijiji wetu na kuwakonga nyoyo.Patriote umenena vema mkuu hadi nimesisimkwa nakuhisi tunajikomboa kesho,for sure freedom is coming tommorow,kwa ulichokinena mkuu kinasogeleana na kile kidogo nilicho comment,na kwa hakika strategy hii ikitumika hata kwa mizinga na makomando wale wa siku ya uhuru bado hawatafua dafu hawa magamba.na kiu kweli tukiishia humu tu jukwaani basi mjue hata 2015 bado tutaendelea kuwa mikononi mwa wakoloni weusi.lakini tukitoka na kukitumia kile tulichonacho na tukawa na spirit of emancipation,wakuu lazima tutafanikiwa kujikomboa.Big up Patriote nimevutiwa na maoni yako,sina hakika kama viongozi wetu wanapita humu,nimeona peter Msigwa sijui ndo yule kamanda wetu wa Iringa,kama ndiye basi myachukue mawazo yanayofaa ili tuyaunganishe kwa kuyafanyia kazi sisi tuko nyuma yenu.
cuf = christian upraising frontiers
chama kiache kukumbatia kanisa na uchaga