Kwa wana SIMBA TUUUUU..

Okajepha alifaa kuanza badala ya Kagoma, tofauti yao Kagoma ni kiungo anayependa back pass na mwoga wa kupeleka Mpira mbele, Nouma alitakiwa aanze badala ya shabalala. Chasambi angeaminiwa badala ya Jibu Dennis sababu waarabu Wana Mpira wa Kasi. Hamza ajifunze kucheza mechi kubwa aache uwoga.
 
Vumilia ndg yangu. Makosa yapo, Leo hii Kagoma ni flop kwa Okejepha?? Let us be serious. Fuatilia mpira popote pale, Kuna kuzidiwa kama timu. Ukiangalia mchezaji utagundua kila mchezaji hakupaswa kucheza kama unaangalia makosa namna hiyo
 
Wangeshinda angekuwa amepatia eeh. Wabongo bwana, kila kitu ujuaji. Kufungwa hutokea tu bila kujali kikosi ulichopanga. Acheni ukocha uchwara.
 
Wangeshinda angekuwa amepatia eeh. Wabongo bwana, kila kitu ujuaji. Kufungwa hutokea tu bila kujali kikosi ulichopanga. Acheni ukocha uchwara.
Mimi najua Mpira kuliko mtu yoyote hapa JF
 
ahoua hana nguvu
 
Mimi najua Mpira kuliko mtu yoyote hapa JF
Mbona hukumshauri kocha kuhusu kikosi kabla ya mechi? Baada ya matokeo ndio unajifanya mara ooh ingekuwa hivi au vile! Hakuna mjuvi wa mpira wa namna hiyo aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…