Kwa waliosoma Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe na Il-boru tu.

Ungemuuliza prof mmoja amesoma hapo tabora boys mtaalam wa uchumi akupe jibu nadhani ingependeza sana sijui anaitwa nani vile
 
sawasawa ndugu hizo shule kweli ni nzuri na juhudi ya mwanafunzi ndiyo ufaulu wake na ndiyo kukuza kipaji alichokuja nacho hapo shule kipaji bila kukiendeleza kitakufa tu mimi nimesoma kibaha sec KSS miaka ya 1993 iko vizuri mazingira walimu vifaa yaani ni shule safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…