Kwa waliosoma Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe na Il-boru tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe na Il-boru tu.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advocate J, May 25, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  nimefurahishwa na matokeo ya hizi shule za vipaj lakin kwa nin zero na4 zinakuwepo? kwa sababhawa ni wa2 wenye vipaj ?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  We nae cjui umetoka usingzini,yani vijana wamefel namna hyo we unakalia kusifia ujinga!
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  ngoja nikueleweshe iko hivi, zamani ndo kulikuwa na shule za vipaji siku hizi ni kipaji jina tu. Ufaulu wa wanafunzi wanaopewa vyeti umeongezeka sawa nakubali lakini sikuhizi ufaulu wa wanafunzi wanaopata daraja la 1&2 umeshuka sana. Tunapata wanafunzi wengi wanaofaulu kwa kiwango cha daraja la 3&4 tofauti na miaka ya 80-99
   
 4. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,947
  Likes Received: 2,093
  Trophy Points: 280
  Vipaji ukuwa na kukuzwa. hao wa four na zero hawakuweka jitihada za kukuza vipaji vyao!! Au ndio sababu za cheating kwenye CSEE exams.
   
 5. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,763
  Likes Received: 8,037
  Trophy Points: 280
  MTIHANI si tu kipimo cha uwezo wa mwanafunzi kuyaelewa masomo, bali pia ni kipimo cha uwezo wa mwalimu kuyafundisha hayo masomo.

  Kama watoto wana vipaji lkn walimu hawana uwezo wa kuwafundisha bado unatemegea wafaulu?
   
 6. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Navyoelewa mimi vipaji ni wakina kanumba, hasheem thabeet, diamond, na wengineo wengi wanaotengeneza mamilion bila kutegemea kuwezeshwa na serikali ya jk, but wanaokesha kama bundi madarasani kukariri formula mwisho wa siku wanakuja kulilia mikopo and then kuzunguka na vibahasha kusaka ajira maana hawawezi kujiajiri siamini kama ni vipaji na hawana tofauti na shule za kata,

  Haya mawazo tu wadau msinitupie mawe..
   
 7. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Amna ki2 hapo vpaji wapii hzo ni stori za zama za mwalimu.
   
 8. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vipaji vya kurap,breakdance,graffiti,disc jockey au vipi?
   
 9. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimesoma shule hizo na nazifahamu vizuri. Kuna wanafunzi kweli wako talented lakini pia wapo vilaza hadi mtu unajiuliza alikuja vp hapa. Yote kwa yote kufaulu ni juhudi binafsi na kwa kuwa wengi wana uelewa mzuri hivyo ni rahisi kupata msaada kutoka kwa mwanafunzi mwenzako pia. Ninakumbuka kuna mwalimu alikuwa anatuambia yeye anachangia 25% ya mwanafunzi kufaulu na 75% ni mwanafunzi mwenyewe.
   
 10. B

  BARRY JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 367
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Hizo shule hata walimu wanawaogopa wanafunzi
   
 11. V

  Visionmark Senior Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hv MKATA KIU hili suala la kwamba kuwepo na shule za vipaji na zisizo za vipaji mbona kama sikosei lilikwisha ondolewa serikalini muda??!!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Vijana wanakamua sana sana usije ukadhania vipaji vinajitokeza bila jitihada ni msuli tu kwenda mbele...hongereni vijana kamueni ile ile.
   
 13. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  zpo bana na juz kisimiri imeongezwa ,pia hizi shule n lazma ziwepo kwasababhuifanya serikali ione nayo imo kielim
   
 14. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  inaelea ulikuwa na4 yenyecretid3
   
 15. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  kamaulisomukoulipata4pekeyako!
   
 17. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  oya hujui kuruka space au?
   
 18. S

  Song'ito JF-Expert Member

  #18
  May 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hakuna kitu kama kipaji kwenye hizo shulee!! hao watu wanasoma balaa..wanashindana kukesha na wana hali ya kushindana pia kwenye matokeo... wana ile hali sitaki fulani anipite...hiyo ndo inaongeza munkali pia.... so ufauli wao ni kwa kusoma sana na kujituma!! japo wapo wachache wenye vipaji vya kweli
   
 19. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #19
  May 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  zamani wakati wetu hakuna zero au 4, nakumbuka mwisho ilikuwa 2. sasa siku hizi watoto wanachakachua wakiwa huko wanakotoka ndo maana.
   
 20. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  ma mods wamefanya jambo la maana kukupiga ban kimsingi unataka kuleta malumbano ya ajabu mimi mbona ni fomsix tbrboys lakini sina majigambo hata kama una3 A A A KAA KIMYA
   
Loading...