Kwa waliosoma Tabora Boys, Kibaha, Mzumbe na Il-boru tu.

Ungemuuliza prof mmoja amesoma hapo tabora boys mtaalam wa uchumi akupe jibu nadhani ingependeza sana sijui anaitwa nani vile
 
Nimesoma shule hizo na nazifahamu vizuri. Kuna wanafunzi kweli wako talented lakini pia wapo vilaza hadi mtu unajiuliza alikuja vp hapa. Yote kwa yote kufaulu ni juhudi binafsi na kwa kuwa wengi wana uelewa mzuri hivyo ni rahisi kupata msaada kutoka kwa mwanafunzi mwenzako pia. Ninakumbuka kuna mwalimu alikuwa anatuambia yeye anachangia 25% ya mwanafunzi kufaulu na 75% ni mwanafunzi mwenyewe.
sawasawa ndugu hizo shule kweli ni nzuri na juhudi ya mwanafunzi ndiyo ufaulu wake na ndiyo kukuza kipaji alichokuja nacho hapo shule kipaji bila kukiendeleza kitakufa tu mimi nimesoma kibaha sec KSS miaka ya 1993 iko vizuri mazingira walimu vifaa yaani ni shule safi sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom