The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Ukisoma hiz course na ukawa unapishana na pesa basi ujue ulikua unakariri, yan hujuzi wako ni wa kwenye makaratasi. Ila ukijua basi utatafutwa na watu sio ww uwatafute.Ushauri anaweza kupewa ila unakua ni mtazamo wangu binafsi kutokana na jinsi navyoipenda na muono wangu binafsi. Ila kuna course ambazo zipo marketable ambazo ukisoma lazma upate kazi au hata ukakosa basi kujiajiri ni rahisi kabisa. Kuna IT au Computer Science. Ni technical course hizo ambazo huwez lala njaa ukizisoma
pamoja mzee. shukrani sana umekuwa msaada sana hapaUshauri anaweza kupewa ila unakua ni mtazamo wangu binafsi kutokana na jinsi navyoipenda na muono wangu binafsi. Ila kuna course ambazo zipo marketable ambazo ukisoma lazma upate kazi au hata ukakosa basi kujiajiri ni rahisi kabisa. Kuna IT au Computer Science. Ni technical course hizo ambazo huwez lala njaa ukizisoma
Lazma asome certificate kwanza ndio maana wameandika course ya miaka 3, certificate ni 1yr and diploma 2yrs = 3yrskwani si anakwenda kusoma diploma direct ama mimi ndo sijawaelewa hawa nacte
kuna changamoto za hizi kozi nazo mzee..kidogo nina xperience na hizi koziUkisoma hiz course na ukawa unapishana na pesa basi ujue ulikua unakariri, yan hujuzi wako ni wa kwenye makaratasi. Ila ukijua basi utatafutwa na watu sio ww uwatafute.
Karibu JFpoa mzee baba
denson [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata akisoma banking and finance nayo ni nzuri