chali yupo vizuri,amejitahidi kwa kweliInategemea na pass zake.. kama ana pass nzuri bas course yoyote anaweza badilisha ila kama za kawaida basi course kama banking and finance, Accountancy, Social Protection na n.k zinazohusu busness
na vipi ada kwa hawa waliochaguliwa na serikali wana wa-sponsor au ndo yaleyale ya kupambana na hali yakoInategemea na pass zake.. kama ana pass nzuri bas course yoyote anaweza badilisha ila kama za kawaida basi course kama banking and finance, Accountancy, Social Protection na n.k zinazohusu busness
Kama yupo vizuri achague anayoipenda na kuiweza pia.. kusoma kitu unachopenda humfanya mwanafunzi asichoke shule harafu kingine kikubwa aangalie course ipi ipo marketable leo na miaka ijayo, i mean awe na jicho la mbali asichague ilimradi kachagua kisa kaka au dada alisoma course hiyo. Ni ivyo tu.chali yupo vizuri,amejitahidi kwa kweli
Kuhusu ada nadhani huwa wanalipiwa kiasi flan ila sina uhakika sana coz sina taharifa za watu wa diploma kuhusu malipo kwa walio chaguliwa na serikali moja kwa mojana vipi ada kwa hawa waliochaguliwa na serikali wana wa-sponsor au ndo yaleyale ya kupambana na hali yako
Amemaliza form fourhabarini bandugu
nina dogo langu amechaguliwa ifm kozi insurance and social protection
kwa wanafunzi wanaochaguliwa moja kwa moja na serikali wanapata full sponsorship ama ni vipi na je akitaka kubadili kozi ni ipi ataruhusiwa
natanguliza shukrani wadau
Hizo ni course tofauti ndani ya faculty moja, sasa hapo kachaguliwa red or blue. I wish ningemshauri kituifm kozi insurance and social protection
Kwa level yake hiyo inakua course moja insurance and social protection akiingia diploma ndo zinakua course mbili tofauti..Hizo ni course tofauti ndani ya faculty moja, sasa hapo kachaguliwa red or blue. I wish ningemshauri kitu
Ushauri anaweza kupewa ila unakua ni mtazamo wangu binafsi kutokana na jinsi navyoipenda na muono wangu binafsi. Ila kuna course ambazo zipo marketable ambazo ukisoma lazma upate kazi au hata ukakosa basi kujiajiri ni rahisi kabisa. Kuna IT au Computer Science. Ni technical course hizo ambazo huwez lala njaa ukizisomame mwenyewe ananiomba ushauri nimebaki njia panda sina nalojua ndo maana nimekimbilia huku nikiamini nitapata msaada