Kwa waliosoma Bagamoyo Secondary School

R.I.P Kasanga, nimepata taarifa za kifo chake, amefariki leo asubuhi.
 
Taarifa.

Kuna Jumuiya ya waliosoma 'Bagamoyo Sec School' imeanzishwa.

Mwaka 2014 Dec. kulifanyika mkutano mkuu wa kwanza, Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza.

Mwaka 2015 Dec kulifanyika uzinduzi rasmi wa Jumuiya, kulipandwa miti zaidi ya 200 Basesco (B'moyo Sec School), Katiba ilipitishwa, uongozi ulichaguliwa.

....

....

.....

Kwa anayetaka kujiunga ani PM akitaja mwaka aliomaliza au aliyosoma, Bweni alilokuwa, majina yake aliyotumia shuleni, na mwalimu wake wa darasa alikuwa nani.

Kama taarifa ni sahihi ataunganishwa na wana basesco wenzake tangia miaka ya 1977, tuna contact zaidi ya watu 500 so far.

Karibuni sana.

decomm.
 
R.I.P mwalimu John kasanga
 

Attachments

  • 1460489571821.jpg
    27.3 KB · Views: 64
[emoji3][emoji3]
 
mbona wote madogo! sioni zetu ilikuwa akina bilalo ,tibikunda ambao wote wameshafariki achilia mbali mikwajua ya kisanga domo la shaba bob alikuwepo sijui kama hawa watu wapo
Kama unawajuwa hao basi bila shaka ulilijuwa DIGGNNER GROUP, nilikuwa member, hhaahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…