Ally dos santos
Member
- Sep 9, 2013
- 9
- 2
Tafadhar jaman nlikuwa naomba kujua kuhusu hii course ya intermediate accounting ipoje na ugumu wake pia na nifanye strategies gan kuhakikisha nafaulu vzur hii course. Asanten
Nani anafundisha ni Dr Assad au Mangesho
Ila kama ungekuwa unajua kusudio la mtu mtu kuuliza wala usingefikia huko kwa kumuona mwenzio sio msomaji.Ww unaonekana co msomaji kbx