Leah dickson
Member
- Nov 10, 2013
- 10
- 2
Habari zenu wapendwa,mm ni msichana wa miaka 20. Natafuta kazi yoyote Mwanza sichagui wala sibagui, elimu yagu ni kidato cha nne pamoja na corse ya ualimu wa chekechea, naombeni msaada wenu. Namba yangu ni 0759067037