Kwa walioko KCMC

Kwa walioko KCMC

mymer

Member
Joined
Aug 3, 2016
Posts
45
Reaction score
50
Samahanini wakuu nilikuwa naomba kujua kwamba kwa waliochaguliwa kcmc je masomo yashaanza, kama yashaanza yameanza lini kwa MD..
 
Kwende admission letter wameandika kuwa mtu awe registered within two weeks yakuanza semester, ambavyo inavyokneka two weeks zinaisha ijumaa... sasa kamaa mtu kachaguliwa third round akija jumatatu anaweza pokelewa....
 
Back
Top Bottom