whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,437
Tangu tarehe 5 walipoachia .iso ya win11 ambayo wengi tulikuwa tunaisubiri kwa hamu nilifanikiwa kui install.
Baada ya siku mbili zakufanya majaribio ilibidi niitoe nirudishe win21H1 sababu ikiwa ni kuongezwa kwa vitu visivyo na msingi pia kuna watu wanalalamika hakuna options ya small taskbar buttons.
Ukiangalia kwa makini wameiga sana mac os na ubuntu.
Naomba mirejesho kwa walioijaribu...
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app