Naantombe Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,254
- 15,742
Sawa mkuu.. Taifa linakosa watu wenye weledi wa kujibu hoja kwa umakini kama wewe. Kudos!Kuhusu zile nafasi ni kwamba UDSM wamepewa hadi tarehe 22/06/2016 wawe wameajiri. Hii ni kuanzia kwenye screening of the interviewees, short listings, interviews, selection na mwisho kuhakikisha watu wapo kwenye mfumo wa ajira. Kwahiyo sikilizia wiki ijayo kama unahitajika utawasikia.
Tangazo lilisema immediate ndo mana nimeuliza kama kuna update yoyote.njaa mbaya sana..yani wiki iliyopita then leo unaulizia majibu?
Bangi za Mlima meru zinamsumbua huyo!Tangazo lilisema immediate ndo mana nimeuliza kama kuna update yoyote.
Halafu acha ushamba we binti, yaani kuuliza tu ndo unadakia 'njaa mbaya' unaharisha maneno tu utasema una cholera. Kwanza umetokea pori gani Tanzania?
Labda pori la Kigosi Moyowosi!!!!Tangazo lilisema immediate ndo mana nimeuliza kama kuna update yoyote.
Halafu acha ushamba we binti, yaani kuuliza tu ndo unadakia 'njaa mbaya' unaharisha maneno tu utasema una cholera. Kwanza umetokea pori gani Tanzania?
Hahahaha ndo lipo wapi hilo mkuu??Labda pori la Kigosi Moyowosi!!!!
Hilo chaka la majambazi hahahaPori la bihalamuro
Mbona umeandika kwa ufupi sana mkuu. Ndo Tarehe ya kufanya nini hiyo 6/6?Tareh 6/6
aHao jamaa ni wapuuzi sana hata mm nimeshangaa nimeitwa na sikumbuki niliaply lini tumepiga written daaah hawa utumishi wawe na huruma yaani maswali ni ya form 1 afu cost ni juu yetuWakuu!!Mwenye updates ya kinachoendelea Nelson Mandela Arusha, Tangazo lao la kazi kwenye website yao linasema deadline ni 18th June 2016 tena imekua bolded kabisa, na web ya utumishi the same date ila nashangaa wamesha shortlist na kuita interview leo...Hii imekaaje?
mkuu,udsm process wamemaliza?Kama kuna update yoyote ya kuitwa kwenye interview kwenye zile vacancies za last last week maana walisema kwenye tangazo for immediate placement.
Naomba tupeane update
Mi hata sijui utaratibu wao upoje maana sikufanikiwa kuitwa kwenye interviewmkuu,udsm process wamemaliza?
na utaratibu wao wa recruitment ni May-July tu?