Hyperkalemia protocol
Member
- Aug 29, 2019
- 99
- 154
Majukumu MkuuKarudi leo, tumeachana kuanzia ijumaa. September 11
Unavumilia unachoka.. sio kwa wanawake wa kizazi hichiMababu zetu huko kaburini wanasikitika sana kizazi hiki kinashindwa kuhimili mahusiano, ni kulia lia tu.
Yani uko sawa kabisa mkuu!Wasichana wa siku hizi mkiachana hata Kwa wiki moja anakitembeza huko...
Mkirudiana anakuchora Tu
Kabla ya hapa hata mi nilikua hivo Mkuu ila kuna baadhi ya wanawake ukikutana nao lazima ikuumeZamani ndo nilkuwa na moyo huo wa kuumiaumia lakini baada ya kutoswatoswa vya kutosha yaani akiondoka sawa akirudi poa asiporudi napo safi tu,
sad story broWasichana wa siku hizi mkiachana hata Kwa wiki moja anakitembeza huko...
Mkirudiana anakuchora Tu
Wakoje hao, na wanapatikana wapi? Labda na Mimi moyo urudi katika hali yake.Kabla ya hapa hata mi nilikua hivo Mkuu ila kuna baadhi ya wanawake ukikutana nao lazima ikuume
Mkuu utakutana na mwanamke mzuri,Wakoje hao, na wanapatikana wapi? Labda na Mimi moyo urudi katika hali yake.
Usikariri maishaWasichana wa siku hizi mkiachana hata Kwa wiki moja anakitembeza huko...
Mkirudiana anakuchora Tu
Sio wote....... ni fursa ya kujitafakari ni wapi ulipokosea na kutorudia kosa.Wasichana wa siku hizi mkiachana hata Kwa wiki moja anakitembeza huko...
Mkirudiana anakuchora Tu