Kwa waliapply awamu ya pili nacte majibu yatatoka lini

mwezi wa nane katikati ili mwezi wa tisa mriport vyuoni
 
kwa maelezo ya mtumish mmoja wa nacte niliyeongea nae amesema majibu ni ndan ya mwez wa huu maana vyuo vingine mwez wa tisa vinafunguliwa na vichache mwez wa nane vinaanza muhula wa masomo
 
  • Thanks
Reactions: THT
Back
Top Bottom