hamix manko
Member
- Aug 1, 2016
- 92
- 29
mimi mkuu nimechaguliwa clinical officer hapo mtwara cotc ila nimeajiriwa hapa mtwara municipal ruhusa kazi sijapata ila kazi zangu mara nyingi ni shift za jioni hivi naweza kusoma hii kozi bila ruhusa huku nikiendelea na kazi zangu?Haikuwepo. ILA nafikir iko vizur ..kumbuka hiki ni chuo cha kanda huwa walimu ni wengi.pia practical zipo za kutosha..kipo karibu sana na LIGULA..hospital ya rufaa. Hongera
Naweza kulala chuoni nikapata mda wa kwenda kazini? au vipindi vya vimebana sana?Hiyo ni lazima iwe fully corse...wote mnalala chuoni..ni sheria.labda kwa kozi zingine
mmmh basi ilishakula kwangu daaahHairuhusiwi maana ya fully coarse ni kutojighusisha na mambo mengine zaidi ya masomo..tofauti na distance learning.
tatizo ruhusa ndoo shida maana niko kazi private sector na ninaingia shift za jioni na ucku na kazi ndoo itanisomesha inamaana mkuu walimu mda wote wanafundisha??Kaahirishe mwaka..uende mwakani
goja nijaribu kusoma hivyo hivyo bila kuwapa taarifa nijaribu nikishindwa nitaachaKuna wakati kuna vipindi ucku.kwa ufupi ni hutaruhusiwa kufanya kaz
hapana certificate mkuu sijui itaweza kusoma huku napiga jobUlichaguliwa diploma?
join nimepata wamenitumia kwenye email tatizo ruhusa kazini wamegoma ila mda mwingi sana nipo free ndoo nikajua naweza soma bila ruhusa tuInawezekana tu! jaribu kuomba na ruhusa kazini!! kwani ushapata joining Instruction??
upo mkoa gani mkuuUtasoma tu ngja ukifika chuoni uone upepo unaendaje! Mkuu nilikua naomba kama hutojari unitumie hiyo joining!!
tuma email yako ambayo ipo active au nikutumie no za mkuu wa chuo uongee naeNiko mbali sana na chuo! Nipo mwanza asee!
tuma tu nitaichekiNjoo inbox nakutumia email iliyopo active
Tayari mkuu nimeshatumatuma tu nitaicheki