Kwa wale woote wasiyo nawapenzi tukutane hapa!

Wa
I miss you too, Wewe unanichelewesha kuoa aisee mambo ya subiri siwezi, hutaki ndoa unaniwekea vikwazo tu, mwenyewe nilikua nipo serious ona sasa nimeangukia kwenye uzi wa singles , ngoja nafanya mchakato namchukua Inna hivyo yeye anataka ndoa hataki nimchezee
Lini utaacha kuchepuka ww mwanamme khaaaa, anyway haya nenda huko uendako , lkn najua utarudi tu nshakuzoea nyambafu zako, ngoja jioni nkuletee box zima la nanihii ili ukirudi tusife na ngoma
 
Wa

Lini utaacha kuchepuka ww mwanamme khaaaa, anyway haya nenda huko uendako , lkn najua utarudi tu nshakuzoea nyambafu zako, ngoja jioni nkuletee box zima la nanihii ili ukirudi tusife na ngoma
Maendeleo hayana chama my dear halafu nasikia protection zimekua adimu sana mtaani kuna mdau alianzisha uzi hazioni madukani, kumbe wewe umezikusanya nyumbani nikija nisione hata box moja watu wanazitafuta wajikinge wewe umezitia kabatini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom