komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,646
Nikupe ripoti ya 2018 utoe hyo 500 uone utapata ngapiSoma taarifa vizuri wacha kuweweseka, hiyo ni ripoti ya 2013, na kiwango cha ongezeko kilikadiriwa ni 51% kwa Tanzania, na 24% kwa Kenya, sasa hivi ni 2020, piga hesabu, kisha toa 500 kwa Kenya. Hahahaha, hahahaha, hahahaha, hahahaha. Akili ndogo haiwezi shindana na akili kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app