Kwa wale wapenzi wa Novel (kusoma online)

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,327
6,850
Novel nyingi sana za waandishi maaraufu zinapatikana kwenye link hii hapa chini. Unaweza uka-search by "Author" au by "Title". Kumbuka usijaribu ku-copy na ku-paste kwenye word kwa sababu hiyo ita-amount to copyright infringement. Wasome tu online akina Sidney Sheldon, Robert Ludrum, Agatha Christie, James hardley Chase, na wengine wengi

You books. You-books.com. The biggest library

Sample Novel: The dead stay dumb; James Hardley Chase

You books. James Chase. The Dead Stay Dumb
 
You can say that again?.. In the vain of shadow,, J.H Chase
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Hao waandishi kazi zao zimepitwa na wakati,undefinedlete kazi za akina Tom clancy,Tom wood etc,undefinedwaandishi wa new generation
 
Unatakiwa sasa u-search by Author possibly hao uliowataja unaweza pia ukavipata vitabu vyao. Mind you sijasema kuwa site ni ya old generation authors, just seach any author or novel bila kujali generation
 
Hao waandishi kazi zao zimepitwa na wakati,undefinedlete kazi za akina Tom clancy,Tom wood etc,undefinedwaandishi wa new generation
Umeanza kusoma novel juzi nini!?....wenzako tunasoma novel zilizoandikwa kabla hatujazaliwa,zile za wakati wetu na za generation hii!...
 
Halafu mimi naona kama uwwepo wa mobile phones umepunguza utamu wa novel lakiini pia na kiwango cha spies kutumia akili zaidi. Utamu unakuwa tu pale labda kunapokuwa kuna hacking na encryption, kama walivyofanya MOSSAD kule Dubai January 2010,
 
Jamani naomba tuendelee kupeana mrejesho katika swala hili la novel
 
For online readings, novels na vitabu vingine mbali mbali mimi natumia application moja kwenye android inaitwa Amazon kindle ambayo nahisi hata apple store pia ipo.

Hii application ina vitabu kama vyote yani, ziwe novels, documentaries na magazines etc. Vipo vitabu vingi sana vinavyouzwa na vingine free to download.

Pia ina vitabu katika format mbali mbali kama pdf, audio books na eupub. Kwa wapenzi wakusoma vitabu ijaribuni hope mtaipenda sana.
 
Jamani tupeane feedback ya novels ambazo mmefanikiwa kuzipata noline
 
You can say that again?.. In the vain of shadow,, J.H Chase
Hizi hapa; ila zipo kwenye pages tofauti tofuati

.
.
.
.
page=4
page=5
.
.
.
.....................................
 
Back
Top Bottom