Kwa wale wapenzi wa kitimoto, ona roast ya kitimoto hapo

We jamaa ni muislamu safi sana! Ni muislamu anayeijua dini yake na asiyeendeshwa na hisia bali fact!

Nilikuona hata kwenye uzi ule wa Thomas Aquinas jinsi ulivyokuwa ukimjibu yule muislamu mwingine!!

Nakukubali sana mkuu, Salute!
Huyu jamaa kakulia outside ndo maana hana ushamba
 
SORRY nje ya mada kidogo ,umesema kiimani hamruhusiwi kuhusiana na imani nyingine mambo yanayohusu ibada,vp mnavyoombaga dua pamoja na makonda au magufuli ndani ya msikiti sio ibada?? vp mwakyembe mlivyoshirikiana nae swala ya maiti ndan ya msikiti sio ibada? vp pesa za kujenga msikiti wa chamwino zilivyochangishwa kanisani na zikapokelewa msikitini na msikiti ukajengewa sio ibada?? vp shekh mkuu alivyoomba dua kwa jina la yesu dua sio ibada
Bila samahani mkuu....

1.Kuombeana DUA isiyo na vitendo vya swala(maombi) ukiwa peke yako kumuombea mwingine(dini yoyote)asiyekuwepo ama yupo ulipo hakukatazwi na DINI....

2.Kuswali kivitendo hapana hakuruhusiwi...kwani suala la SWALA lina kanuni na TARATIBU zake...mfano SHAHADA kwa Allah na Mtume Muhammad(s.a.w),kutawadha(kiutaratibu),kuelekea kibla na kuyajua maneno USEMAYO...Sasa niambie mh.Mwakyembe aliswali swala ya kipindi gani?alfajiri ama usiku(ishaa)?
Laa kama alijumuika kumswalia marehemu wa kiislam basi tungejua ALIFUATA KANUNI ya swala hiyo ya marehemu(salat ul janaiz) kwani pamoja na kuwa ndani yake kuna DUA ila kuna VITENDO....

3.Hakuna katika utaratibu wa kiislam kuwa tunaombeana kwa jina la YESU japo kwetu ni mtume mtukufu...na si YESU tu bali hata Ibrahim Yakubu na Isihaka...

4.Kuhusu misikiti kujengwa kwa fedha za wasio waislam...hilo haliko...kwani kuna AYA inasema "wanaoimarisha misikiti ni wale waliomkiri Mungu Mmoja na mtume wake Muhammad".Sasa ikitokea WATU WAMEWIWA kuwachangia waislam KUJENGA misikiti ambayo wao hawafanyi ibada ndani yake huwa ni muhali kidini...laa kisiasa kiutawala na kijamii HILO NI SAWA....

Kwa hiyo mh.Makonda kuombewa DUA na masheikh wangu ni SAWA...kwani nami huwa ninamuombea kama rafiki nimpendae....


N.B Mkuu refer comments zangu huko juu,nimefafanua ni yepi yaitwayo IBADAT(Ibada) na MIAMALAT(miamala).


Mkuu humu duniani mambo mengi YANABADILISHWA... si tu yahusuyo uislam bali hata dini nyingine....wenye PESA wanaweza KUFANYA lolote na viongozi wa DINI wakapiga makofi na kuwaweka katika VITI VYA MBELE ama NAFASI ZA MBELE...

Ok mkuu wangu.

Be blessed!!
 
Mungu hakukosea kuumba warembo hawa wawili wafaao kwa mlo.
1. Mwanamke
2. Kitimoto
 
😂😂 mimi pia aisee, huyu mzee akiongea ni kama kajazwa upepo na anakaribia kupasuka....ni kukaza maneno, mdomo mwili na macho. So hiyo avatar imemuakisi vizur sana
 
Raha ya kitimoto muwe watu watano.
Ziwepo roast kilo 4 na ndizi kumi na tatu na sauce ya kutosha na zile pilipili ndefu..
Sanjari na hiyo kuwepo na kavu kilo mbili na kachumbari nyingii.
Halafu awepo chali mmoja ambaye Hana hela mchango wake Ni stori mafuriko ya beer yakianza.
Sehemu yenyewe iwe chini ya mti wenye kivuli halafu bar iwe na mabarmeid wazuri wakichaga waliochangamka.
Umetisha mkuu 😀😀😀
 
Tanga inapatikana pande zp
Nenda majani mapana

Karibu kabisa na kituo Cha kupoozea umeme Cha tanesco yaani opposite Kuna nyumba Kama Kota hivi iko upande wa kulia ikitokea barabara ya kange .

Au Saba Saba bar za mule huwa wanapika kitimoto

Sema TAnga bhana watu wengi walaji kule vibarakashia wametawala mkoa .
 
Mmenikumbusha pale MiBS sema ukifika unasubiria mpaka njaa na hamu inakata kabisa.
Sijui ndio wanachinjaga tukifika.
 
Nilikua na demu wangu m1 hiv tulikua tukikaa tunaagiza kilo mbili tunaipiga had inaisha nyingne anafunga tunaenda ilia lodge au geto kwangu,,enz za chuo hzo..mitaa flan nyuma ya mabibo hostel pale
 
Mzigo
IMG_20210131_184953_659.jpg
 
Raha ya kitimoto muwe watu watano.
Ziwepo roast kilo 4 na ndizi kumi na tatu na sauce ya kutosha na zile pilipili ndefu..
Sanjari na hiyo kuwepo na kavu kilo mbili na kachumbari nyingii.
Halafu awepo chali mmoja ambaye Hana hela mchango wake Ni stori mafuriko ya beer yakianza.
Sehemu yenyewe iwe chini ya mti wenye kivuli halafu bar iwe na mabarmeid wazuri wakichaga waliochangamka.
Punguza ujinga hizo wewe 😂😂😂😂
 
Nishasema kitimoto ni dhambi
Kitimoto ni dhambi
Nguruwe ni haramu
Narudia nguruwe ni haramu

Hiyo menyu ni balaa full majaribu
Nireteeni mbusi
Nireteeni mbusii
Nasema nireteeni mbusiiiiii
Rakini mbona mbusi haiwi hivyo ndugu zangu

My take:Simple and clear wanaokula kuleni kama imani yenu inawaruhusu, msiokula msile kwa kua imani yenu inawazuia.Cha muhimu tu kila upande usimletee shida mwenzio kama huli kausha waachie wanaokula wale, na kama unakula kila kistaarabu usifanye jambo ambalo litawaumiza wasiokula...Kila kitu na mipaka yake...Ushauri bora....kila mtu atabeba msalaba wake peke yake...kila mtu ana uhuru..tusiingiliane
Kimaro nishasema View attachment 1640976View attachment 1640977View attachment 1640978View attachment 1640979View attachment 1640980
dah had mate yamenitoka😝
 
Back
Top Bottom