Kwa wale wanaopenda jinfunza web development,games and markets

DanielP

Member
Dec 29, 2011
97
25
Kuna hawa jama wanaitwa Bitdgree wao wana course hizo but zinauzwa bei ghari kwa wengi wetu hapa leo wameachia free course zao almost zote kujiunga wahi soon watazifunga ziwe paid tena

Link hiyo BitDegree - Revolutionizing education with blockchain

1536616264909.png


link1.PNG

NAAMINI KIZURI SHARE NA WENGINE THANKS
 
Safi japo wazungu wameiharibu sana hii fani ya IT wasomi wetu wengi wamekosa ubunifu mana kila kitu kimeshafanywa na wao
 
Back
Top Bottom