Kwa wale waliokata tamaa na mahusiano

Kwa wale waliokata tamaa na mahusiano

Tamalisa

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
2,542
Reaction score
907
Habari za weekend ndugu zangu.

Isaya 43: 18 - 28

Isaya 45:1- 8

Yeremia 30 : 16 - 17

Mathayo 15 : 12 - 13

Soma taratibu na utaelewa tu, msiwe na haraka wapendwa na magumu yote yanakwenda kufunguliwa nimeamua kutuma mistari hii kwaajili ya kutiana moyo.

Hasa wale wenye maumivu ya kimahusiano, haijalishi ilikuaje, ulifanya/fanywa nini, wala unapitia katika hali gani kimahusiano kwasasa, tumaini bado lipo sana, tena. embu

Muaminini yeye anayetufanya hata sasa bado tunavuta pumzi.Kwa wale waislamu mtanisamehe kama nimewakwaza, pia mimi sijui msaafu, tafuta maandiko huko ujipe moyo na tumaini la kuendelea mbele.

Nawaombea sana wale wote wanohitaji mke/mume, watoto, amani katika ndoa nk. Mungu akawatendee katika mwaka
2015. Ameen.

Nice weekend.
 
hakika uu ni upendo mkuu kwa wewe kushare nasi habari njema kama izi....God bless u
 
Back
Top Bottom