Kwa wale waliochaguliwa mzumbe

kuna nini?.... Ongezea nyama habari yako
 
Kuna ambaye anaweza kulog In kwenye acount yake ya mzumbe ya application/admission?
 
We nenda kwenye web page ya mzumbe ingia aris
 
Kuna ambaye anajua amepata hosteli ama laa! Unaangalia vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…