Enzi zetu silabasi ya kiswahili iliishia kwenye magazijuto. Hii aloleta mdau imekuja na jumuiya ya afrika mashariki ikiletwa na Vitz.
ahahahaaaaaaaaaaaaah..... kizee kiongo hiki
Haya sema ukweli wako wewe uliyezaliwa mwaka mmoja na NCCR Mageuzi.
Enzi zetu silabasi ya kiswahili iliishia kwenye magazijuto. Hii aloleta mdau imekuja na jumuiya ya afrika mashariki ikiletwa na Vitz.
kwani NCCR Mageuzi imezaliwa mwaka gani?
ahahaha..! yaani nimecheka bila kutarajia! magazijuto??? du!