Kwa wale Wadau wa Networking

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,074
2,000
Nitatumia mbinu gani ili niweze punguza au ondoa kabisa uwezo wa mtu kudownload Large files (say >40MB) kutoka katika internet na kuruhusu file ndogondogo (kama vile attachments za email, Docs etc). Kama haiwezekani, je ni vipi naweza punguza downloading speed ya user, Mind you souce ya net?access point ni wireless router, na watumiaji wanatumia net wirelessly.

Mimi nina mawazo mawili
1. kucheza na ports, Tatizo sijui exactly port gani niziblock na how.
2. kublock incomming & Outgoing B.W. (tatizo router nilonayo hapa ni inaingia Sim card pekee, Huawe B593).

Any general and working concept ambayo inaapply kwa mannaged routers. Karibuni wadau.
 

NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,467
2,000
Nitatumia mbinu gani ili niweze punguza au ondoa kabisa uwezo wa mtu kudownload Large files (say >40MB) kutoka katika internet na kuruhusu file ndogondogo (kama vile attachments za email, Docs etc). Kama haiwezekani, je ni vipi naweza punguza downloading speed ya user, Mind you souce ya net?access point ni wireless router, na watumiaji wanatumia net wirelessly.

Mara nyingi wanaotengeneza router hua hawaweki code ya kulimit file size... ila kwa kukusaidia kuhusu kulimit downloading speed ya user inawezekana pia kwa baadhi ya router kwa hiyo inabidi uingie kwenye settings zako kuangalia kama ipo au haipo, inakwenda hivi...

Kuna kitu kinaitwa QoS (Quality of service) pale unaweza uka-add ip address na percentage ya bandwidth ambayo hiyo specific ip address itatumia, inabidi sasa uingie kwenye settings za router , router nyingi ukiingiza 192.168.0.1 au 192.168.1.1 kwenye web browser yako unaingia kwenye settings... sasa sijatumia router yako kujua ni sehemu gani ila tafuta sehemu ya QoS mara nyingi hua ni kwenye advanced settings... sasa pale kama router yako inagawa ip addresses mfano kuanzia 192.168.1.2- 192.168.1.255 itakubidi uziadd hizi ipaddresses afu uziwekee limit mfano kama net yako ni 100MBPs ukiweka 10% utakua umelimit hiyo ipaddress itumie just 10MBPs.... angalia tu usijilimit na wewe... ip-address yako unaweza ukaiweka ikawa exception ili upate maximum quality...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom