Kwa wale wa NACTE degree

Kwa wale wa NACTE degree

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Je mtu aliye jicomfirm mwenyewe ktk profile yake badala ya kufanyiwa comfirmission na chuo husika ina kuwaje hapo WADAU???
 
Jamaani naweza kuhamishwa chuo kwasababu za kifamilia kwan kwenye profile yangu nimechaguliwa ila chuoni bado confirmation
 
Je mtu aliye jicomfirm mwenyewe ktk profile yake badala ya kufanyiwa comfirmission na chuo husika ina kuwaje hapo WADAU???

Hakuna option ya kujiconfirm bana vinginevyo labda sio degree
 
Je mtu aliye jicomfirm mwenyewe ktk profile yake badala ya kufanyiwa comfirmission na chuo husika ina kuwaje hapo WADAU???

Please be informed that you have been provisionally selected to join below Programme in said Institution/College pending to the confirmation of the Institution/College.

Unajulishwa kwamba umechaguliwa kujiunga na kozi/program na Chuo kama ilivyo ainishwa hapo chini. Uchaguzi huu unategemea uthibitisho kutoka Chuoni.
 
Hakuna option ya kujiconfirm bana vinginevyo labda sio degree

nenda kwenye webu ya nacte afu bofya 21Octoba MAJINA YA WALIMU afu nenda mstari wa pli utakutana na nebo bofya
 
nenda kwenye webu ya nacte afu bofya 21Octoba MAJINA YA WALIMU afu nenda mstari wa pli utakutana na nebo bofya

Ulitakiwa useme walimu sasa unasema degree kwa ujumla wake wakati hiyo ni kwa walimu
 
Mimi niliconferm mwenyewe na jana nimetumiwa joining insruction sjcet bachelor ya ECE
 
Back
Top Bottom