mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
siku ya gulio Katerero.
unakumbukia nn?Mh hapo katererooooo!
Hivi vitabu vimepotelea wapi?mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
Jamani mmenikumbusha mbali nikiwa nachoma mahindi nakwenda nayo shuleni na viazi pia HADHTHI ZA KIMWERI
unakumbukia nn?
Hivi vitabu vimepotelea wapi?
mnazikumbuka hizi titles?
Jogoo aliyesema,
Brown ashika tama,
Sikukuu ya sabasaba,
Sadiki na sikiri,
Kibanga ampiga mkoloni,
Nondo mla watu
..............................
..............................
..........................
.......:...........................
Paka amlamba kuku....oh no hiyo haikuwepo sorry!
hapa ndipo tunapoooona ni jisnsi gani wahusika wasivyokuwa makini kutunza ya kale, hata kama silabasi zimebadilika sana , tulitengemea kuwe na angalau makataba ya viatabu vya kale kama hivi, hakika ni hazina kubwa, wahuzika mpooooooooHivi vitabu vimepotelea wapi?